Balaa Jingine: CHADEMA Yamalizana na LIJUALIKALI kibabe/Yaweka wazi siri zake/CCM Yachokonolewa Télécharger

Envoyer à vos amis
Ajouter
 • 19 mai 2020

Commentaires

 • Saidi mpako
  Saidi mpako il y a 4 mois

  SHIDA SIO KUTOA MCHANGO SHIDA NI KWAMBA PESA IMETUMIKAJE ?

 • Magufurify African Leadership
  Magufurify African Leadership il y a 4 mois (modifié)

  CHADEMA its too late hamuezi kujiokoa kwa sasa. Makosa yenu

 • bone
  bone il y a 4 mois

  Sasa michango ya ccm imeingiaje 😂😂😂 hawa jamaa washapoteza sifa

 • Faustina Nyamtengera
  Faustina Nyamtengera il y a 4 mois

  Matumizi yake ndilo swali la Lijualikali

 • Khaji Hamisi
  Khaji Hamisi il y a 4 mois

  Pumba kabisa!!! zungumza ya chadema!!! CCM inakuhusu nini? mtajijua 2020!!

 • Felix Mrisho
  Felix Mrisho il y a 4 mois

  Ruzuku inafanya nini sasa?

 • George Alphonce
  George Alphonce il y a 4 mois

  Wewe hakuna unachojua nyamaza

 • Isaya Laizer
  Isaya Laizer il y a 4 mois

  Makao makuu yenu yapo wapi!?

 • abubakari kisuju
  abubakari kisuju il y a 4 mois

  Nyie wezi katiba ya shangazi yako"matapeli nyie

 • Rukia Mndeme
  Rukia Mndeme il y a 4 mois

  CAG ndio anaewapa kura hiyo ck ikifika ndiyo utaju kuwa wananchi was Tz hawa danganyi tens wana macho waña masikio.

 • Joash Matiku
  Joash Matiku il y a 4 mois

  Unazingua sana, hebu kuwa na heshima kwa spika , wewe ni mtoto kwake

 • Mathias Michael
  Mathias Michael il y a 4 mois

  Mbona mnaroroma sana,au ndo ule msemo sikio la kufa halickii dawa, mshaisha nyie

 • Rukia Mndeme
  Rukia Mndeme il y a 4 mois

  Hata mjitete vipi ishaigia dosari kubwa sana mgejifuza kunyama za tu lakini maneno mengi hayana maana.

 • francis buya
  francis buya il y a 4 mois

  ACHA UKENGE HABARI YA CCM INATOKA WAPI HAPO. TATIZO SIYO MICHANGO JULISHA PESA IMETUMIKAJE MSITUMIE PESA ZA WATU KIBABE. NA WEWE UNAACHAMA HAPO MDOMO WAKATI HUJAWAHI CHANGIA HATA MBUNI

 • Maingu Buremo
  Maingu Buremo il y a 4 mois

  Unapoteza muda makengeza na genge lake ni wezi. Mmeshaliwa. Mwaka huu mtapata sifuri kama alivyopata sifuri makengeza wenu form six

 • Akanganyila Theophil
  Akanganyila Theophil il y a 4 mois

  Uyu nae kaja sa ngapi🤣🤣🤣

 • Hamis Shabani
  Hamis Shabani il y a 4 mois

  Tunataka kujua pesa ziko wapi za michango na ruzuku ?

 • said para
  said para il y a 4 mois

  Uweke akiba ya maneno. Maana najua muda si mrefu utaamia ccm. 😂😂😂😂

 • Mo simba
  Mo simba il y a 4 mois

  Kwa mujibu wa katiba na taratibu za Mbowe

 • Foplus Mbano
  Foplus Mbano il y a 4 mois

  Iloooooo nyoko nyoko nyiiingi hamtuwezi.