Diamond Performing Sound Ft Teni On 10Years Of DiamondPlatnumz Concert Télécharger

Envoyer à vos amis
Ajouter
 • 4 janv. 2020

 • Get A Boy From Tandale Album https://umgafrica.lnk.to/DiamondPlatn... On His Way To His Home Town KIGOMA To Celebrate His 10 Years Of Success In His Music Career Diamond Platnumz Rented A Train And Traveled With 300 People On A Trip That took 38 Hrs! The Train Was Pimpided & Customized to make all the Passengers Comfortable! Train Wagon Were Customized and turned into Mini Lounge & Disco Club The Journey Ended At KIGOMA RAILWAY STATION! Were The Traditional Chiefs Welcomed & Blessed Him As A Sign Of A King Get A Boy From Tandale Album https://umgafrica.lnk.to/DiamondPlatn... For Bookings: Email:bookplatnumz@gmail.com | sallam.sharaff@gmail.com Catch Up With Diamond Platnumz On: Instagram:https://www.instagram.com/diamondplat... Facebook:https://www.facebook.com/DiamondPlatn... Twitter:https://twitter.com/diamondplatnumz/ #Sound #Diamondplatnumz #10YearsOfDiamondPlatnumz

Commentaires

 • SAID SALUMM
  SAID SALUMM il y a 9 mois

  Ngoma imepepea bila kiki wala promo hyo ndo tofaut ya msaniii wa kimataifa na wasaniii wa ndani

 • lugano mwambungu
  lugano mwambungu il y a 9 mois

  Hongera sana brother hii stage sijawah kuiona toka bongo freva imeanza shoo ulifanya kigoma ubunifu huo uende mikoa yote na hiyo show ndio tunayoitaka mfuatilie Michael Jackson shoo zake utaona kweli alipania kuwaburudisha watu na sio kujiangalia yeye ushauli Wangu brother Fanya mziki achana na mabifu wewe kuwa bize na mziki wako ndani na nje ya Tanzania kuna vipaji vingi vipo mtaani na wanaamini mziki utawasaidia umeonyesha njia na mziki Leo hii unawatoa kimaisha Fanya mziki brother najua kuna hulka ya kibinadamu lakini nakuomba sana uizuie uende mbele zaidi duniani kote kila la kheri diamondi big u yaani ni fire

 • Hamis kengwa
  Hamis kengwa il y a 9 mois

  Hzi ndo show sasa ata ungesem kiingilio elfu 20 ningotoa kiroho sasfii 🤣🤣🤣🤣🤣 chibu unabalaa hatari sana

 • Evidence Michael
  Evidence Michael il y a 9 mois

  It's amazing show ... diamond i c u worldwide..... love from Nigeria

 • Mesther AB
  Mesther AB il y a 9 mois

  The king of Africa 💪

 • Simplis Samba
  Simplis Samba il y a 9 mois

  Hili ni bonge la track sema hujapromote kbs

 • Hirali Dismasi
  Hirali Dismasi il y a 9 mois

  Nimeamin kwel ww ndo nembo ya taifa tz

 • DEE LIGT
  DEE LIGT il y a 9 mois

  Na mwaka huu wataisoma namba za viatu 🤣🤣🤣🤣💪💪💪💪💪💪 mpaka wanyoke wakae kwenye mstari wa kunyoka watuelewe sisi ni wakina nani kwenye indary ya muzi wa bongo frevaaaaaaa🤣🤣🤣🤣

 • Aidan Aiken
  Aidan Aiken il y a 9 mois

  When the Crowd Understands the sound of your Music

 • Isaac Njoroge
  Isaac Njoroge il y a 9 mois

  He's the best

 • mussa mwamoto
  mussa mwamoto il y a 9 mois

  DIVA YUPO WAPI?ALULIZA MBONA MOND APOST SHOW YA KIGOMA?

 • Thabiti Linolo
  Thabiti Linolo il y a 1 mois

  Simba unanikosha ukicheza hii ngom nataman kila show hii ngom uperform napend kulik ngom zote stejini

 • Isaac Njoroge
  Isaac Njoroge il y a 9 mois

  King of East Africa no 1 if you disagree feel free

 • عبد الرازق يوسف

  انت يا ديمون ما تعالى السودان 😭😭😭😭

 • Rose MALOH
  Rose MALOH il y a 1 semaine

  Awwwh ! Your greatest fan in Cameroon. You are everything entertainment.

 • Crietion World
  Crietion World il y a 9 mois

  Sound 4D!

 • Nsabiyeze Nuhu
  Nsabiyeze Nuhu il y a 9 mois

  why u're not promototed this hit😃

 • Kelvin Edes
  Kelvin Edes il y a 9 mois

  Leo nimewahi kucomment

 • Divann Inxas
  Divann Inxas il y a 9 mois

  Man-! He knows BEYOND the extent 🤗😍😍😍

 • Yuusuf Nuur
  Yuusuf Nuur il y a 9 mois

  Shikomi mababy nakukubali kazi safi simbq