Goodluck Gozbert - Umeshinda Yesu (Official Video)For skiza SMS skiza 8633374 to 811 Télécharger

Envoyer à vos amis
Ajouter
 • 21 mai 2020

 • #GoodluckGozbert #UmeshindaYesu #NgommaGospel Goodluck Gozbert performs Umeshinda Yesu, a gospel song. ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

Commentaires

 • BEAST Hunter
  BEAST Hunter il y a 4 mois

  Kama yesu kashinda gonga like apo

 • SINGANO Updates
  SINGANO Updates il y a 4 mois

  Nyimbo nzur umechangamsha saf San umeshinda yesu gonga like👍 hapa Kama unamkubali

 • Dr. laban N
  Dr. laban N il y a 4 mois

  Mkenya halisi. Kenya🇰🇪🇰🇪 na Tanzania🇹🇿🇹🇿 ni ma ndugu hatuna ugomvi juu ya covid-19, yote yatapita maana YESU AMESHINDA. Sisi bado ni majarani tuzidi upendo kati yetu.

 • Jojo no Stress
  Jojo no Stress il y a 4 mois

  Nipe like Jameni nimetoka burundi bujumbura namigu

 • mbula hellon
  mbula hellon il y a 4 mois

  Love from Kenya🇰🇪 likes zikam.... blessing song

 • Newman west
  Newman west il y a 4 mois

  Yesu ameshinda

 • Benson Elgridin Abraham
  Benson Elgridin Abraham il y a 4 mois

  Drop your like here, if your also among the very first people to watch and listen to this song, a great song full of blessings..

 • mr barongo
  mr barongo il y a 4 mois

  Na mimi nipatien vu like vwenu maana si mchezo ndugu yetu jafanya kaz nzuri mnoooo. Pend sana brother wwtu na mungu atazid kukupaisha mataji hadi mataji.

 • Mkola__ Tv
  Mkola__ Tv il y a 4 mois

  Vizurii broo kama unamkubri gonga lik 👍👍

 • Maria Mtweve
  Maria Mtweve il y a 4 mois

  Ameshinda yesu barikiwa Sana mpendwa mungu wetu ananguvu na matendo yake ni makuu kwetu

 • ruth madagwa
  ruth madagwa il y a 4 mois

  Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥

 • Cheka Extra
  Cheka Extra il y a 4 mois

  Kama unamkubali Goodluck

 • eliakim jeremiah
  eliakim jeremiah il y a 4 mois

  Mi napitia comments za ombaomba wa likes,sijui wanazipeleka wapi 🤷🏻‍♂️

 • Flora22 Alex
  Flora22 Alex il y a 4 mois

  Just what we needed at this hard Corona times assurence that ameshinda yesu......we love you good luck.........we support your work na mungu akubariki akutende mema

 • Evelyne sakalla
  Evelyne sakalla il y a 4 mois

  Nikitembea naona Baraka umeshinda yesu ! Oyoooo so nice aisee stay blessed brother

 • Willy Roggy
  Willy Roggy il y a 4 mois

  Daaah!! Sa Itakuwaje kaka kwa ujio huu...🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥

 • Baker bakeer
  Baker bakeer il y a 4 mois

  This is what we call excellence. Beautiful work. May God increase you Goodluck. Watching from USA, Virginia. Ahsante mwanetu.

 • Official Meck15
  Official Meck15 il y a 4 mois

  Ktka album ya shukuran hii song naipenda kuliko aisee🔥🔥

 • Elibariki Elikana
  Elibariki Elikana il y a 4 mois

  Umeshinda Yesuuuui blessed brother

 • Esther Esther
  Esther Esther il y a 4 mois

  I like it from 🇺🇸 🇺🇸Sasa mbona wew haumo??🤣🤣🤣🤣🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️ ama nikwaajili yetu sisi mashabiki??